Best Driver Challenge
About This Event
Vipi Pwani! Mashindano ya Dereva Bora yanatua Mombasa tarehe 6 Juni katika Uwanja wa Bandari Maritime Academy.
Jisajili kupitia https://bestdriver.aakenya.co.ke/#/register ili kushiriki, kushinda zawadi mbalimbali, na kupata nafasi ya kuwakilisha Kenya katika Mashindano ya Afrika nchini Tanzania.
Organizer
AA Kenya
Location
Bandari maritime academy, Mombasa