wellnessart exhibitionsfood eventscultural

World Swahili Day

Friday, July 10, 2026
14:0022:00
Little Theatre Club, Nyali

About This Event

Wiki Hii tunaidhinisha Siku ya Lugha ya Kiswahili,

Karibu tuungane kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Kiswahili 2026!

📅 Ijumaa, 10 Julai 2026

🕑 Kuanzia saa 8:00 mchana hadi usiku

📍 Little Theatre Club, Mombasa

Njoo ufurahie siku yenye shughuli mbalimbali za kitamaduni, zikiwemo:

* Muziki wa Taarab

* Vyakula vya asili vya Kiswahili

* Maonesho ya mavazi na ubunifu wa Kiswahili

* Uonyeshaji wa filamu maarufu za Kiswahili na kazi nyingine za Kiswahili

* Mihadhara na majadiliano

* Usimulizi wa hadithi za Kiswahili

* Mashairi na maonesho ya sanaa

* Muziki, ngoma na maigizo

Kiingilio ni BURE kwa wote!

Karibu na familia yako, marafiki na jamii kwa ujumla tusherehekee pamoja lugha, utamaduni na urithi wa Kiswahili.

Karibuni sana!

Organizer

Little Theatre Club Mombasa

Location

Little Theatre Club, Nyali
World Swahili Day | Events in Nyali | Coast Buzz